FOTO: Aviation Tanzania
#Birdstrike Mwanza airport leo. Marubani wa @PrecisionAirTz wanastahili pongezi kwa ujasiri na kuweza kutua katika hali hii.
Hatua za haraka zichukuliwe na mamlaka husika za viwanja vya ndege #TAA na #TCAA ili kudhibiti hawa ndege katika viwanja vyetu. #Tusisubiri mengine
Adauga comentariul tau